Posted By Posted On

Karia: Mimi ni Simba, ila ukweli upo hivi!

ZILE kelele za mashabiki wa soka juu ya uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwamba umejaa unazi wa Simba kiasi cha kushindwa kuficha mahaba yake, limemfanya Rais wa shirikisho hilo, Wallace Karia kuvunja ukimya kwa kuwajibu wale wanaousakama uongozi wao.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *