Posted By Posted On

KMC, Polisi TZ patachimbika

WAKIREJEA kutoka ugenini walikoaibishwa kwa kucharazwa bao 1-0 na Kagera Sugar, vijana wa KMC jioni ya leo watawakaribisha maafande wa Polisi Tanzania ambao gari lao limeonekana kuwaka katika mfululizo wa mechi za Ligi Kuu Bara, huku kila timu ikijinasibu kuibuka na ushindi.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *