Posted By Posted On

Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck ameomba waamuzi wasiruhusu faulo za ajabu zinazoweza kuhatarisha hali za kiafya kwa wachezaji …

Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck ameomba waamuzi wasiruhusu faulo za ajabu zinazoweza kuhatarisha hali za kiafya kwa wachezaji wake. Vandenbroeck amekuwa mkali kufuatia kile alichokidai wachezaji wake kuchezewa rafu za makusudi dhidi ya JKT Tanzania.


Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck ameomba waamuzi wasiruhusu faulo za ajabu zinazoweza kuhatarisha hali za kiafya kwa wachezaji wake. Vandenbroeck amekuwa mkali kufuatia kile alichokidai wachezaji wake kuchezewa rafu za makusudi dhidi ya JKT Tanzania.,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *