Posted By Posted On

SIO ZENGWE: Kwa Morrison tulifikiri kwa kutumia midomo

NILIPOSOMA taarifa za tamko la Yanga kuhusu winga wa Ghana, Berbard Morrison kuwa mkataba wake uliopandishwa katika mtandao wa usajili kimataifa (Transfer Matching System), una makosa, nikaona kabisa kuwa Shirikisho la Soka (TFF) litakuwa likifanya jitihada kutafuta maelezo ya kutosha kukabili yale yaliyotolewa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *