Stars yaingia kambini, Samatta kutua kesho
WACHEZAJI wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ wameanza kuingia kambini leo Jumatatu Oktoba 5, 2020 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi huku Nahodha wa timu hiyo Mbwana Samatta anatarajia kuwasili nchini kesho Jumanne.,Read More
Comments (0)