Posted By Posted On

BURUNDI KUTUA KESHO NA NYOTA 20 KWA AJILI YA MECHI YA KIRAFIKI NA WENYEJI, TAIFA STARS JUMAPILI

KIKOSI cha wachezaji 20 wa timu ya taifa ya Burundi, In’thamba Murugamba kitawasili Dar es Salaam kesho kwa ndege ya Air Tanzania kutoka Lubimbashi kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Taifa Stars Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *