Posted By Posted On

Je, Liverpool wanaweza kutetea taji la EPL?

KIPIGO cha mabao 7-2 walichopata mabingwa watetezi wa EPL, Liverpool kimeshangaza wapenzi wa kandanda duniani. Mpaka dakika 38 ya mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Villa Park, mabingwa watetezi walikuwa wamechapwa mabao 4-1. Liverpool walipata kipigo hicho saa chache baada ya mabingwa wa zamani Man United kuzabwa mabao 6-1. Vipigo hivyo vimekuja wiki moja baada ya mabingwa wa zamani Leicester…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *