Posted By Posted On

KAPTENI WA TAIFA STARS MBWANA ALLY SAMATTA WA FENERBAHCE YA UTURUKI AWASILI DAR KUWABAA BURUNDI

NAHODHA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kutoka Uturuki anakochezea klabu ya Fenerbahce kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Burundi Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *