Posted By Posted On

Nahimana aihofia Taifa Stars

Kipa namba moja  wa timu ya Taifa ya Burundi, Jonathan Nahimana amesema maingizo mapya ndani ya kikosi chao yanampa hofu wanapoelekea kuikablii  Taifa Stars katika mchezo wa kirafiki utakaofanyika Jumapili kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *