Posted By Posted On

SBL YASAINI MKATABA MPYA WA SH BILIONI 3 KUENDELEA KUIDHAMINI TAIFA STARS KWA MIAKA MITATU ZAIDI


KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Premium Lager (SBL) leo imeingia mkatba wenye thamani ya Sh. Bilioni 3 za Tanzania na kusaini mkataba na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wa kuidhamini timu ya taifa, Taifa Stars kwa kipindi kingine cha miaka mitatu. Hizi ni habari njema kuelekea mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi Jumapili Dar es Salaam

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *