Posted By Posted On

Solskjaer ana siku mbaya zaidi Man Utd

Manchester, England. Kocha Ole Gunnar Solskjaer ameeleza kuwa kipigo cha Manchester United cha mabao 6-1 dhidi ya Tottenham Hotspur kimefanya kuwa na siku mbaya zaidi katika maisha yake ya soka kama kocha. Penalti ya Bruno Fernandes iliipa Man United uongozi dakika ya pili ya mchezo, lakini mambo yalibadilika na kushuhudia wenyeji wakimaliza mchezo kwa kuchapwa mabao sita, huku vijana wa Jose Mourinho wakizima tambo za Old Trafford.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *