Posted By Posted On

ULIMWENGU AWASILI DAR NA KUJIUNGA NA TAIFA STARS KWA MAANDALIZI YA MCHEZO NA BURUNDI JUMAPILI


Mshambuliaji wa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Thomas Emmanuel Ulimwengu baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutoka Lubimbashi kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha timu yataifa ya Tanzania, Taifa Stars kinachojiandaa kumenyana na Burund katika mchezo wa kirafiki Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam 

 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *