Posted By Posted On

KAPTENI WA TAIFA STARS MBWANA SAMATTA ALIVYOWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE MAZOEZINI LEO

Mshambuliaji wa Fenerbahce ya Uturuki na Nahodha wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwaongoza wachezaji wenzake mazoezini Uwanja wa Benjamin Mkapa leo asubuhi kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi Jumapili

Beki wa Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto akiwa mazoezini Taifa Stars kujiandaa kuwakamili Int’hamba Murugamba


Kipa wa Yanga SC, Netacha Mnata (kulia) akiwa mazoezini Taifa Stars leo asubuhi Uwanja wa Benjamin Mkapa

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *