Posted By Posted On

KIKOSI CHA BURUNDI KILIVYOWASILI LEO DAR ES SALAAM KWA AJILI YA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TAIFA STARS

Wachezaji wa timu ya taifa ya Burundi wakitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam baada ya kuwasili kutoka kwao, Bujumbura kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini kuanzia Saa 10:00 jioni  

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *