Posted By Posted On October 7, 2020 MECHI YA SIMBA NA YANGA ILIYOKUWA IPIGWE OKTOBA 18 DAR YASOGEZWA MBELE HADI NOVEMBA 7 MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga SC uliokuwa ufanyike Oktoba 18, mwaka huu umesogezwa mbele hadi Novemba 7. , Tags:
Comments (0)