Posted By Posted On

Samatta,Watkins watatoa majibu mwisho wa msimu..

Wikiendi iliyopita tumeshuhudia washambuliaji wawili waking’ara kwa kupachika mabao ya ushindi kwa timu zao. Mbwana Samatta alikiongoza kikosi cha Fenerbahce kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya klabu ya Karagumruk. Samata alipachika mabao hayo ikiwa ni mchezo wake wa kwanza katika Ligi Kuu Uturuki. Kocha wa klabu hiyo, Erol Bulut anaonekana kuwa na matumaini makubwa kwa Mtanzania huyo ambaye…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *