Posted By Posted On

Simba mitandaoni haikamatiki

HAPA nchini licha ya kwamba timu za soka zenye mashabiki wengi Ligi Kuu Bara kuwa ni Simba na Yanga, lakini bado wapo ambao wanazifuatilia nje ya uwanja klabu hizo ambazo zimejizolea wafuasi wengi katika mtandao wa kijamii wa Instagram. Mwanaspoti limefanya utafiti kujua klabu gani za Ligi Kuu zenye wafuasi wengi katika mtandao huo unaopendwa na watu wengi.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *