Posted By Posted On

TAIFA STARS DHIDI TUNISIA KUPIGWA NOVEMBA 13

Msomaji wa Yanganews Blog:Timu ya Taifa ya Tanzania TaifaStars, itavaana na Tunisia Novemba 13, 2020, kwenye mechi ya kufuzu AFCON, kundi “J” na kisha kurudiana Novemba 17, 2020.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa leo na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mchezo wa kwanza TaifaStars itakipiga ugenini nchini Tunisia, na ule wa marudiano utapigwa katika ardhi ya Tanzania.

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *