Posted By Posted On

Thomas Partey ni Pauni 110 milioni

LONDON, ENGLAND. USAJILI wa kiungo Thomas Partey umeripotiwa kuigharimu Arsenal mkwanja mrefu, Pauni 110 milioni ambayo italipa ndani ya miaka minne. Arsenal ilitangaza juzi Jumatatu imekamilisha usajili wa kiungo huyo wa kimataifa wa Ghana baada ya kulipa Pauni 45 milioni zilizohitajika kuvunja mkataba wake huko Atletico Madrid.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *