Posted By Posted On

Bizimungu anukia Ihefu

SIKU mbili baada ya Ihefu kumtupia virago aliyekuwa kocha wao, Maka Mwalwisi, uongozi wa klabu hiyo umesema unatarajia kumtangaza kocha mpya wikiendi hii, huku jina la kocha wa zamani wa Mwadui, Ally Bizimungu likitajwa klabuni hapo.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *