Posted By Posted On

Hispania, Ureno nguvu moja

Hispania na Ureno wameamua kuunganisha nguvu kwa ajili ya kuomba kuandaa kwa pamoja fainali za Kombe la Dunia 2030. Hispania wamesema kwamba wameona hawawezi kupata mshirika mshirika mzuri zaidi kwa ajili ya michuano hiyo inayoandaliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa). Shirikisho la Soka la Hispania (RFEF) linasema katika taarifa yake kwamba kinachofanyika sasa ni kuweka mikakati ya…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *