Posted By Posted On

HUKO YANGA HAKUNA KULALA

Msomaji wa Yanganews Blog:Baada ya kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi, kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga jana jioni imeendeleza tizi la nguvu ikiwa ni maandalizi kwa mechi za ligi zinazofuata.

Ndio, oktoba 22 Yanga itashuka dimbani kumenyana dhidi Polisi Tanzania huo ukiwa mchezo wa ligi utakaopigwa dimba la Mkapa.

Hizi hapa picha mbali mbali katika mazoezi ya Yanga hapo jana

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *