Posted By Posted On

Kagere, Mugalu wana jambo lao Jangwani

MASTRAIKA Meddie Kagere na Chris Mugalu wamekutana na makali ya Prince Dube katika vita ya kuwania ufungaji bora msimu huu, lakini nao wamegeuzia moto wao kwa Yanga kwa kusepa na kijiji Jangwani kwa kufunga mabao ambao ni idadi sawa na yale yaliyofungwa na kikosi kizima cha wapinzani wao hadi sasa katika ligi.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *