Posted By Posted On

Korona Inavyoendelea kuwaadhibu Wachambuzi

Ligi mbalimbali duniani zimerudi ila bado mambo yamebana kwa wachambuzi kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine. Kipindi cha nyuma tuliwahi kuangalia namna wachambuzi wa soka wanavyokufa njaa baada ya kuingia ugonjwa wa Korona, sasa ligi zimerudi ila mambo bado magumu ‘nganganga’. Kwa nchi za Afrika tumezoea wakati huu wachambuzi wetu nguli wanaenda Afrika Kusini wanachambua soka kisha wanarejea.

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *