Posted By Posted On

Manchester United taabani

Manchester United wapo katika hali mbaya, baada ya kukubali kichapo cha mabao sita kutoka kwa Tottenham Hotspur kabla ya mapumziko ya kupisha michuano ya kimataifa. Wachezaji wake wanaonekana kutokuwa na utimamu wa mwili wala utulivu wa akili, huku ingizo jipya la Januari katika Bruno Fernandes nalo likipoteza matumaini makubwa ya wengi baada ya kuonekana kupwaya. Inaelezwa sasa kwamba wakuu wa…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *