Posted By Posted On

MWAMBUSI ALIANZISHA TIZI LA NGUVU KWA WACHEZAJI

Msomaji wa Yanganews Blog:Kocha msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi baada ya kushtukia ubora mdogo wa fiziki na stamina kwa wachezaji wao, ameamua kuanza na hilo kwa kubadilisha kila kitu kilichokuwa kikifanywa na kocha aliyeondolewa.

Hatua ya kwanza ya mabadiliko ya kocha huyo mzawa ni kuitengua ratiba ya mazoezi ya kocha Zlatko na kuamua kuwakimbiza vijana hao kwa mazoezi ya mara mbili kwa siku ili kuwafanya wawe na pumzi.

Alichofanya Mwambusi ni kuwaanzishia mazoezi vijana wake kwa kujifua kuanzia asubuhi kisha ratiba hiyo uendelea tena jioni, huku ikielezwa mazoezi hayapungui dakika 90 na wakipigishwa tizi la maana kipindi hiki mechi zimesimama kupisha michezo ya kimataifa kwa timu za taifa.

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *