Posted By Posted On

Nadal atinga nusu fainali French Open

PARIS, Ufaransa

NDOTO ya Rafael Nadal kufikia rekodi ya Roger Federer kutwaa mataji 20 makubwa (Grand Slams) katika michuano ya wazi ya Ufaransa, French Open, mwaka huu imeendelea kubaki hai baada ya kumfunga Jannik Sinner.

Mpinzani wa Nadal mwenye miraba minne raia wa Italia alionekana kuwa tishio lakini bingwa huyo mara12 raia wa Hispania alijipanga na kuutawala mchezo huo wa robo na mwishowe kushinda 7-6 (7-4) 6-4 6-1.

Nadal sasa atakutana na Diego Schwartzman katika mchezo wa nusu fainali ikizingatiwa Muargentina huyo alimfunga Nadal mwezi uliopita jijini Rome, Italia.

Hata hivyo, historia ya French Open maarufu Roland Garros inambeba Nadala ambapo ameshinda taji hilo kila mara anapofuzu nusu fainali.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *