Posted By Posted On

NIYONZIMA NDANI YA TIMU YA TAIFA RWANDA

Msomaji wa Yanganews Blog:Kiungo wa mabingwa wa kihistoria Yanga, Haruna Niyonzima ameitwa timu ya Taifa ya Rwanda.

Kocha wa timu ya Taifa ya Rwanda, Vincent Mashami amemwita Niyonzima katika kikosi cha Timu ya Taifa Rwanda kitachoshiriki mchezo wa kuwania fainali za kombe la mataifa ya Afrika (Afcon) 2021.

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *