Posted By Posted On

NYOTA WANAOCHEZA MOROCCO SIMON MSUVA NA KIBABAGE WAWASILI KUJIUNGA NA TAIFA STARS


Wachezaji wa Difaa Hassan El-Jadidi, beki Nickson Kibabage na kiungo mshambuliaji Simon Msuva wakitoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) baada ya kuwasili kutoka Morocco kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania tayari kwa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa  dhidi ya Burundi Jumapili kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *