Posted By Posted On

Onyango, Kapombe wafunika Simba

cha mabao JKT Tanzania  NA ASHA KIGUNDULA

WACHEZAJI wanne wa timu ya Simba, anaongoza kwa kucheza dakika nyingi Ligi Kuu Tanzania Bara, tangu ilipoanza Septemba 7, mwaka huu.

Nyota wa timu hiyo walioweza kumaliza dakika 90 katika michezo mitano mfululizo  sawa na dakika  450 ni Shomari Kapombe, Joash Onyango, Aishi Manula na Mohamed Hussein.

Katika michezo mitano ambayo Simba imecheza na kushinda minne na sare moja, kocha wa timu hiyo, Sven Vandenbroeck, hajabadilisha   nafasi wanazocheza wachezaji hao.

 Licha ya Vandenbroeck amekuwa akifanya mabadiliko katika idara nyingine, ikiwamo ya kiungo na ushambuliaji kwa lengo la kupata matokeo mazuri, lakini  watatu hao wamefanikiwa kucheza dakika zote.

Simba  ilianza ligi hiyo kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ihefu katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, kabla ya kupata sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar dimba la Jamhuri, Morogoro.

Baadaye Simba walipata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Biashara mabao 4-0, kabla ya kuifunga Gwambina mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Mkapa, jijini Dar es Salaam,  kisha kuishushia kipigo dimba la Jamhuri, Dodoma.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *