Posted By Posted On

Simba, Yanga wafunguka kuahirishwa Kariakoo Derby

KUAHIRISHWA kwa pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga lililopangwa awali kupigwa Oktoba 18 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kumezua gumzo, wadau wakiishangaa Bodi ya Ligi (TPLB) kwa panga pangua isiyoisha huku makocha wa timu mbalimbali wakilalamikia hali hiyo.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *