Posted By Posted On

Stars ni pasi bao

WAKATI Simon Msuva, Nickson Kibabage na Himid Mao wakiwasili leo Oktoba 8 nchini kuungana na wenzao leo, timu ya taifa, Taifa Stars imeanza rasmi mazoezi kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa unaotambulika na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) dhidi ya Burundi, huku Kocha Mkuu, Etienne Ndayiragije akionekana akisuka vijana wake kupiga pasi nyingi na kufunga mabao ya kutosha.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *