Posted By Posted On

Straika Yanga amng’ata sikio Ajib

NA ZAINAB IDDY

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga na kikosi cha Taifa Stars, Mohammed Hussein ‘Mmachinga,’ amesema nyota wa Simba, Ibrahim Ajib, anatakiwa apambane ili kulinda kipaji chake.

Kwa sasa Ajib hana namba katika kikosi cha Simba kutokana na ushindani uliopo kutoka kwa wachezaji wenzake.

Akizungumza na BINGWA Dar es Salaam jana, Mmachinga alisema Ajib ni bonge la mshambuliaji mwenye kipaji.

Mmachinga alisema mshambuliaji huyo  anashindwa kujituma katika mazoezi na kumshawishi kocha wake ili ampe namba ya kudumu katika kikosi chake.

“Lazima Ajib apambane na kumthibitishia kocha wake kuwa ana uwezo wa kuisaidia Simba, kitendo cha kuonekana mchezaji wa benchi hakiwezi kumsaidia.

“Kwa sasa jina lake linaanza kupotea vichwani vya watu tena wengine hadi aingia uwanjani ndio unajua kuwa bado anacheza ligi ya Tanzania kwa mchezaji ambaye umri bado unadai kama yeye si jambo rafiki sana kwake,” alisema Mmachinga.

Mmachinga alisema anatamani kumuona Ajib wa  sasa akiwa yule wa misimu miwili minne iliyopita kwani bado taifa linahitaji huduma yake.

“Taifa Stars inahitaji huduma yake , binafsi natamani kumuona anarudi katika ubora tuliomzoea na kuitwa tena timu ya taifa,” alisema

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *