Posted By Posted On

Vipigo vya Liverpool na Man Utd ni mchoko?

 Usiku wa Jumapili iliyopita ulikuwa na majanga kwa klabu za Liverpool na Manchester United katika Ligi Luu England baada ya kupokea vipigo vya kustusha. Siku hiyo Man Utd ilichezea kichapo cha mabao 6- 1 kutoka kwa Totenham kisha baadaye ilifuata Liverpool iliyochezea kipigo cha mabao 7-2 kutoka kwa Aston Villa.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *