Posted By Posted On

WanaYanga tusikilizane

Kuna crip inasambaa mitandaoni , ikifafanuliwa na watu wengi kuwa mechi ya watani wa jadi, Yanga na Simba imerudishwa nyuma.

Msomaji wa Yanganews Blog:Hiyo crip ni ya mda mrefu kabla hata ya kutangazwa mabadiliko ya ratiba, mechi ya Yanga dhidi ya Simba itapigwa novemba 07.

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *