Yanga: Kwa hali hii tungekata moto mapema kwa Simba
MASHABIKI wa Yanga wanajiandaa kumpokea Kocha Mkuu wao, Cedric Kaze anayeelezwa anaweza kutua muda wowote kuanzia wikiendi hii kutoka Canada, lakini unaambiwa Kocha Juma Mwambusi anayeisimamia timu kwa sasa ameamua kuwanoa upyaa kina Carlinhos wenzake ili wawe fiti zaidi.,Read More
Comments (0)