Posted By Posted On

YANGA SC KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA MWADUI FC KESHO USIKU UWANJA WA AZAM COMPLKEX, CHAMAZI

YANGA SC watacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mwadui FC kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi kuanzia Saa 1:00 usiku kwa kiingilio cha Sh. 3,000 mzunguko na 5,000 VIP.


,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *