Posted By Posted On

DANNY INGS APIGA BONGE LA BAO ENGLAND YAICHAPA WALES 3-0 WEMBLEY


Danny Ings akibinuka tik tak kuifungia England bao la tatu dakika ya 63 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Wales kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa Wembley, London baada ya Dominic Calvert-Lewin kufunga la kwanza dakika ya 26 na Conor Coady la pili dakika ya 53
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *