Posted By Posted On

MESSI AIFUNGIA BAO PEKEE ARGENTINA YAILAZA 1-0 ECUADOR KUFUZU KOMBE LA DUNIA


Lionel Messi akishangilia baada ya kuifngia Argentina bao pekee dakika ya 13 kwa penalti baada ya  Lucas Ocamps kuangushwa kwenye boksi katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Ecuador kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 Qatar kwa Amerika ya Kusini. Ushindi huo unaendeleza rekodi ya Argentina kutofungwa katika mechi nane chini ya kocha Lionel Scaloni 
PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *