Posted By Posted On

MORRISON, MIQUISSONE NA NYOTA WENGINE SIMBA SC WAKIJIFUA GYM KUONGEZA NGUVU ZAIDI MIILINI MWAO

Viungo washambuliaji wa Simba SC, Mghana Bernard Morrison (kushoto) na Luis Miquissone kutoka Msumbiji (kulia) wakifanya mazoezi ya kuongeza nguvu mwilini kipindi hiki cha mapumziko mafupi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kupisha mechi za kimataifa

Wachezaji wa Simba SC wakifanya mazoezi ya kuongeza nguvu mwilini gym kipindi hiki cha mapumziko mafupi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kupisha mechi za kimataifa 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *