Posted By Posted On

Photos from VIWANJANI LEO’s post

📸
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, taifastars, leo jioni kimeendelea na Mazoezi kwenye Viwanja vya Gymkhana Dar es Salaa kujiandaa na mchezo wa Kirafiki kwenye Kalenda ya FIFA dhidi ya Burundi Jumapili Oktoba 11,2020 saa 10 jioni. @azamtvtz @serengetilager_tz @wallacekaria @wilfredkidao @taifastars_

(Feed generated with FetchRSS),

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *