Posted By Posted On

Yaliyojiri A. Lyon vs Ndanda FC

PAZIA la Ligi Daraja la Kwanza (FDL) limefunguliwa rasmi jioni ya leo kwa mechi mbili jijini Dar es Salaam, Africn Lyon waliikaribisha Ndanda FC na kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1, huku jijini Dodoma wenyeji Fountain Gate waliipasua Alliance kwa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *