Posted By Posted On

YANGA KUKINUKISHA LEO MECHI YA KIRAFIKI DHIDI MWADUI

Msomaji wa Yanganews Blog:Kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga itashuka dimbani leo kumenyana dhidi Mwadui Fc, huo ukiwa mchezo wa kirafiki utakaopigwa dimba la Azam Complex, saa moja jioni.

Viingilio katika mchezo huo, mzunguko 3000 na VIP 5000.

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *