Posted By Posted On

AZAM FC YAITANDIKA MAFUNZO YA ZANZIBAR MABAO 3-1 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI LEO CHAMAZI

Wachezaji wa Azam FC wakipongezana baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Mafunzo FC ya Zanzibar kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mabao ya Azam FC yamefungwa na Mzambia, Obrey Chirwa dakika ya 44, Mzanzibari Khelffin Hamdoun dakika ya 77 na Mzimbabwe Never Tigere dakika ya 89, wakati la Mafunzo limefungwa na Rashid Abdallah dakika ya 36 


,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *