Posted By Posted On

FIRMINO APIGA MBILI BRAZIL YAIFUMUA BOLIVIA 5-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA


Wachezaji wa Brazil wakimpongeza Roberto Firmino baada ya kufunga mabao mawili dakika ya 30 na 49 katika ushindi wa 5-0 wa Brazil dhidi ya Bolivia 5-0 kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 kwa Amerika ya Kusini Alfajiri ya leo Uwanja wa Neo Quimica Arena Jijini Sao Paulo
. Mabao mengine ya Brazil yalifungwa na Marquinhos dakika ya 16, Jose Carrasco aliyejifunga dakika ya 66 na Philippe Coutinho dakika ya 73

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *