Posted By Posted On

KMC yaanika kilichofanya waipeleke Yanga Mwanza

KMC ilipanda Ligi Kuu Bara misimu mitatu iliyopita na katika msimu wao wa kwanza ilikata tiketi ya kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya CAF kutoa nafasi kwa Tanzania kuingiza timu nne kwenye michuano ya Afrika ikiwamo mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika 2019-2020.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *