Posted By Posted On

Simba yapindua meza kibabe, kibao chawageukia Yanga

UKISIKIA kupindua meza ndiko huku. Si unakumbuka kabla ya kupanguliwa kwa pambano la watani lililokuwa lipigwe Oktoba 18, Simba walionekana watataabika mikoani kabla ya kuvaana na Yanga? Ratiba ya awali ilikuwa ikionyesha Simba ingecheza mechi mbili mfululizo dhidi ya JKT Tanzania kisha kuifuata Tanzania Prisons kabla ya kukutana na Yanga ambayo ilikuwa imepangwa kucheza mechi mbili mfululizo nyumbani. Kabla ngoma haijageuka.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *