Posted By Posted On

Ubovu wa viwanja vya michezo unajirudia nchini.

Tangu kuanza msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzanua Bara 2020/2021 jumla ya viwanja vitano vya soka vimefungiwa kutumika kwenye mashindano ya Ligi hiyo kutokana na kasoor mbalimbali. Inafahamika kuwa mchezo wa soka ni biashara na burudani. Katika biashara kuna faida na hasara, na burudani pia inazo faida na hasara zake. Viwanja vingi vya mchezo wa soka vimekuwa na hali ya inayofanana kwa miaka mingi sasa.

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *