Posted By Posted On

Kocha mpya, posho mpya Yanga

YANGA imeanza upya kila kitu. Sasa ni kocha mpya na posho mpya kwa mastaa. Yaani kila pointi 15 ambazo wataweka kibindoni kuanzia sasa kwa mechi tano mfululizo wachezaji watalamba Sh50 milioni.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *