Posted By Posted On

Kocha Wa Yanga Kutua Siku Ya Azam FC

Kocha mpya wa timu ya Yanga Cedric Kaze kutua siku ya Alhamis mwezi huu ambapo Azam FC itakwaana na Mwadui katika dimba la Azam Complex. Mchezo wa Azam dhidi ya Mwadui ni muendelezo wa ligi kuu Tanzania Bara mzunguko wa sita baada ya kushuhudia magoli 74 yakifungwa katika raundi tano. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya GSM Hersi Said ambayo inaidhamini Yanga amesema kuwa kocha huyo atatua siku…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *